Hatua moja tu. Jaza taarifa za database na akaunti ya admin.
Kwenye cPanel: MySQL Databases. Kwenye WAMP: phpMyAdmin.
Kwa huduma ya wateja wengi: kila mteja anapata jina.domain-yako.com. Acha wazi ukitumia biashara moja au kujaribu localhost.
jina.domain-yako.com
*.domain
Inatumika kwa platform (wewe) na kwa biashara ya kwanza.
Unaweza kuweka baadae kwenye Mipangilio.